"Anapanga mpango wa kuja kuwateka"- Waziri Mwigulu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Mwigulu Nchemba amewataka askari Magereza nchini kulinda taratibu za Magereza, kutokana na taarifa za baadhi ya askari wa jeshi hilo kuwapa simu wafungwa kwa ajili ya mawasiliano.

