Mkurugenzi Kinondoni awalaumu viongozi wa vyama
Baada ya kuwepo kwa dosari kwenye uchaguzi Jimbo la Kinondoni ikiwemo kutolewa nje kwa mawakala wa vyama mbalimbali Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni amejitokeza na kuzimaliza ambapo amewalaumu viongozi wa vyama kushindwa kutekeleza wajibu wao.

