"Kuumizwa kwa watu sio suala la NEC"- Jaji Kaijage
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Semistocles Kaijage amefunguka na kudai vurugu zilizoweza kujitokeza jana katika Jimbo la Kinondoni wao hawausiki kwa lolote kwa kuwa sio kazi yao kulinda usalama.

