Refarii afungiwa kuchezesha soka

Shirikisho la soka la Ufaransa (FFF) kupitia kamati ya nidhamu inayosimamia ligi kuu nchini humo Ligue 1 imemfungia miezi sita mwamuzi Tony Chapron kwa kosa la kumpiga mchezaji kisha kumwadhibu kwa kadi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS