Idara ya Uhamiaji yatangaza neema
Idara ya Uhamiaji nchini imeweka utaratibu wa kutoa kibali maalum kwa raia wa Burundi ambao wanataka kuja Tanzania kwa ajili ya kufanya shughuli za kilimo ikiwa ni moja ya njia za kupunguza raia wa nchi hiyo ambao huingia kinyemela hususani katika mikoa ya Kigoma na Tabora kwa ajili ya -