Auwa mwanae akimchapa na fimbo Jeshi la Polisi katika Wilaya ya Pader, nchini Uganda, linamshikilia Bwana Omony Odokonyero (30) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwanae mwenye umri wa miaka saba kilichotokana na kuchapwa fimbo. Read more about Auwa mwanae akimchapa na fimbo