"Wizara haiingilii uhuru wa mtu kutoweka " Lugola

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola.

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema wizara hiyo haihusiki wala kuingilia uhuru wa mtu kutoweka nyumbani kwake kwa kuwa kila mtu ana uhuru kikatiba kwenda mahali anapotaka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS