Ronaldo aacha namba za maajabu Real Madrid
Jioni ya leo Julai 10, imeacha historia kubwa katika soka ikirudisha dunia nyuma miaka 9 iliyopita, ambapo Ronaldo alihama kutoka Manchester United kwenda Real Madrid kwa dau la rekodi ya dunia la £84.60m zaidi ya shilingi billioni 220.