Rais Magufuli kuwaongoza watanzania kupokea ndege Raisi Magufuli Rais Dkt. John Magufuli kesho Jumapili Julai 08, 2018 atawaongoza watanzania katika mapokezi ya ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner iliyonunuliwa na serikali ya Tanzania. Read more about Rais Magufuli kuwaongoza watanzania kupokea ndege