Pointi zatawala michezo ya 16 bora
Katika mwendelezo wa mechi za hatua ya 16 bora zinazoendelea mchana huu kwenye viwanja vya Airwing Ukonga jijini Dar es salaam, mpaka sasa timu tatu zimeshafanikiwa kutinga robo fainali huku ushindani wa ponti ukitawala.