Azam waweka wazi lini Shabaan Idd anatua Hispania
Klabu ya soka ya Azam FC kupitia kwa meneja wake Phillip Alando, imesema mshambuliaji wao Shaaban Idd ambaye amesajiliwa na timu ya Tenerife ya Hispania, ataondoka nchini mara baada ya michuano ya Kombe la Kagame.