"Uongozi ni kupokezana kijiti"- Mwigulu

Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa jimbo kwake.

Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wakazi wa jimbo hilo kutosikiliza maneno ya watu wanaosema kuwa anaweza jiuzulu nafasi ya ubunge baada ya kuondolewa katika baraza la Mawaziri.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS