Singida yamwongezea changamoto Manyika
Singida United ambayo ilimaliza katika nafasi ya 5 katika msimu wake wa kwanza kwenye Ligi kuu soka Tanzania Bara 2017/18, imeendelea kuimarisha kikosi chake, mara hii ikimpa changamoto mlinda mlango wake namba moja Manyika Jr kwa kumsajili aliyekuwa kipa wa Njombe Mji David Kissu.