Juma Abdul awatuliza mashabiki wa Yanga

Mchezaji wa Yanga, Juma Abdul.

Mlinzi wa Yanga, Juma Abdul amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kuwa watulivu na watoe wasiwasi  kwa klabu yao huku akiwahakikishia kuwa watafanya vizuri katika michuano ya kimataifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS