Juma Abdul awatuliza mashabiki wa Yanga Mchezaji wa Yanga, Juma Abdul. Mlinzi wa Yanga, Juma Abdul amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kuwa watulivu na watoe wasiwasi kwa klabu yao huku akiwahakikishia kuwa watafanya vizuri katika michuano ya kimataifa. Read more about Juma Abdul awatuliza mashabiki wa Yanga