"Tumeandaa mawakala watatangaza zawadi"- Mwanukuzi
Mkurugenzi na mtayarishaji wa shindano la Miss Tanzania, Basilla Mwanukuzi amekanusha tuhuma zilizotolewa na mshindi wa taji la Miss Arusha kuwa sio za kweli kwamba hawamkufahamisha zawadi watakazo mpatia zaidi ya stakabadhi ya fedha taslimu kama alivyodai wakati akihojiwa.