Tanzania yaongoza kwa hili Afrika Mashariki

Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Kijamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Ephraim Kwesigabo.

Mfumuko wa bei kwa kipindi cha mwaka unaoishia mwezi Juni mwaka huu umeendelea kushuka kutoka asilimia 3.6 ilivyokuwa mwezi Mei hadi asilimia 3.4, huku sababu kuu iliyochangia kushuka huko ikiwa ni kupungua kwa kasi ya bidhaa zisizo za vyakula.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS