TFF na Mtibwa Sugar mezani kumaliza utata
Viongozi wa klabu ya soka ya Mtibwa Sugar wamelazimika kusafiri kutoka Morogoro na kuja Dar es salaam, kwaajili ya kukaa meza moja na viongozi wa TFF ili kumaliza utata juu ya ushiriki wao katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika.