Gigy Money afungukia kuhusu 'Lips' zake
Msanii wa bongo fleva, Gift Stanford maarufu kama Gigy Money amesema hajawahi kutumia sigara wala bangi kama watu wanavyomfikilia kutokana na muonekano wake wa midomo inavyoonekana huku akidai kilichomuharibu ni utumiaji wa pombe kali.