Picha haina uhalisia na kilichosemwa, imetumika kama mfano.
Kaimu Mkurugenzi wa idara ya maendeleo ya watoto Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwajuma Magwiza, amewataka walimu nchini kutowabagua watoto kutokana na uwezo wao darasani.