"Bado hatujapata Uhuru"- Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema kuwa Uhuru uliopatikana Disemba 9, 1961 ni mwanzo wa kutafuta Uhuru wa kiuchumi ambao ameutaja kuwa ndio mgumu zaidi kupatikana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS