UKAWA yaridhia kuungana na CCM

Meya wa Kinondoni Mh. Benjamini Sitta kulia na Meya wa Ubungo Mh. Boniface Jacob wakihesabu kura mara baada ya kura kupigwa ili kuchagua Naibu Meya wa jiji la Dar es salaam.

Uchaguzi wa Naibu Meya wa jiji la Dar es salaam, umefanyika leo ambapo wajumbe wa Baraza hilo wamekubaliana kwa kauli moja kuwa na Manaibu wa wili kutoka Chama Cha Wananchi (CUF) na mwingine  Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS