Baada ya Man United, Arsenal kuibukia Huddersfield
Mchezo wa Arsenal na Huddersfield
Baada ya kubanwa na Manchester United katika katika mchezo wa EPL katikati ya wiki hii, Arsenal inatarajia kushuka dimbani hapo kesho ikiwakaribisha Huddersfield Town.