Wakongo wa Yanga watawala ligi kuu

Kushoto ni kocha Mwinyi Zahera na kulia ni Heritier Makambo.

Klabu ya soka ya Yanga kupitia kwa mshambuliaji wake, Heritier Makambo na kocha, Mwinyi Zahera imeibuka kinara kwenye tuzo za mchezaji bora na kocha bora wa mwezi Novemba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS