Muna Love aibuka na jipya kumuenzi Patrick

Kushoto ni Marehemu Patrick na kulia ni Muna Love

Baada ya mtoto wake Patrick kufariki, Muna Love ameanzisha taasisi itakayosaidia watoto wenye maradhi mbalimbali ambayo inafahamika kwa jina la  'Patrick Foundation', ambayo ameifungua ili kumuenzi mwanawe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS