Ajib, Makambo na wengine kuachwa safari ya Yanga Kushoto ni Ajib na kulia ni Makambo Kuelekea michuano ya kombe la Mapinduzi inayoanza kesho Januari 1, 2019 visiwani Zanzibar, klabu ya Yanga haitapeleka kikosi chake cha kwanza kwenye mashindano hayo. Read more about Ajib, Makambo na wengine kuachwa safari ya Yanga