Mashabiki wa Simba wapewa utaratibu maalum

Kocha wa Simba Patrick Aussems akisalimiana na mashabiki wa Simba.

Klabu ya soka ya Simba imethibitha tarehe ya mchezo wake wa raundi ya kwanza, hatua ya kwanza ya klabu bingwa Afrika dhidi ya Nkana FC ya Zambia ambao utapigwa Jumamosi Desemba 15, 2018.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS