Ndoa ya shilole yaingia kidudu mtu Shilole akiwa na mume wake, Uchebe. Mwanamuziki Shilole amewataka wadada wa mjini 'wadangaji' kukoma kumfuatili mume wake ' Uchebe' kwa madai kwamba anamtunza na kumpendezesha. Read more about Ndoa ya shilole yaingia kidudu mtu