Sita wafariki kwa ajali Morogoro Watu sita wamefariki dunia kwa kwa ajali ya gari mkoani Morogoro, ambapo miongoni mwa waliofariki ni msanii maarufu wa muziki wa mchiriku na singeli kutoka kundi la 'Jagwa', Jack Simela. Read more about Sita wafariki kwa ajali Morogoro