Polisi Mwanza yaagiza wananchi kukaguana Mimba
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limefanikiwa kumuokoa mtoto mchanga mwenye jinsia ya kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa siku moja hadi tatu aliyekuwa ametupwa na mtu asiyefahamika katika Mtaa wa Mwambani Wilayani Ilemela, kitendo ambacho ni kosa la jinai.