Zahera afichua siri za ndani ya uwanja

Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera

Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera ameitaja siri anayoitumia kwa wachezaji wake ndani ya vyumba vya kubadilisha nguo ambayo inapelekea kuwapa ushindi mfululizo katika ligi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS