Mahakama kusikiliza kesi ya Malinzi kwa siku 3 Jamal Malizi (kushoto) na washtakiwa wenzake Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajia kusikiliza ushahidi wa kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili aliyekuwa Rais wa (TFF) Jamal Malinzi na wenzake kwa siku tatu mfululizo. Read more about Mahakama kusikiliza kesi ya Malinzi kwa siku 3