Aliyehukumiwa kifungo cha maisha Jela na Mahakama ya Mafisadi, Ana Moisie raia wa Msumbiji
Mahakama Kuu Kitengo cha Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam, imemuhukumu Mwanamke mmoja wa raia wa Msumbiji Ana Moisie Chissano kifungo cha maisha baada ya kukutwa na dawa za kulevya.