Manara ashangazwa na jina lake nchini Zambia

Haji Manara akisalimiana na Meneja wa Power Dynamos ya Zambia

Afisa habari wa klabu ya 'Wekundu wa Msimbazi' Simba, Haji Manara ameonesha kushangazwa na jinsi jina lake lilivyo na umaarufu nchini Zambia ambako klabu hiyo imepiga kambi kwaajili ya mchezo wa Klabu Bingwa Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS