"Ningekeketwa, kuolewa nikiwa darasa la 4"- Mbunge
Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Catherine Ruge amedai yeye ni miongoni mwa waathirika wa mila potofu ya ukekeketaji baada ya kutishiwa kutengewa na jamii iliyokuwa ikimzunguka kufuatia hatua yake ya kupinga waziwazi vitendo hivyo.