Baada ya Mourinho ni zamu ya Cristiano Ronaldo
Kama kuna mamlaka ya mapato ambayo inashughulika na majina makubwa kwenye suala la kodi, basi ni 'Spanish Tax Agency' (STA), ambayo imeshawafikisha mahakamani na kuwakuta na hatia nyota mbalimbali wa soka Duniani na nchini humo.

