''Nitatekeleza kama walivyoniamuru'' - Jokate

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo akiongea na wananchi.

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh. Jokate Mwegelo amesema atatatua changamoto za wanafunzi wa shule ya msingi Kibuta, wilayani humo ambao walimueleza kuwa na uhitaji wa vifaa vya michezo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS