Majeruhi 9 wamefikishwa hospitali ya Avenue
Watu kadhaa wamejeruhiwa na kufuatia mlipuko na milio ya risasi iliyotokea katika eneo la 14 Riverside, Nairobi nchini Kenya ambapo maafisa wa shirika la msalaba mwekundu wamefika eneo la tukio na kufanya huduma ya kwanza.

