Yanga kuwakosa viungo wake leo Baadhi ya wachezaji wa Yanga Klabu ya soka ya Yanga inatarajia kuwakosa viungo wake muhimu, Papy Tshishimbi na Feisal Salum 'Fei toto' katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya African Lyon utakaopigwa leo. Read more about Yanga kuwakosa viungo wake leo