Waziri aliyeweka 'rekodi' utawala wa Rais Magufuli
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angela Kairuki huenda ndiye waziri pekee ambaye amehudumu katika wizara nyingi kwenye kipindi cha serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt John Magufuli.

