Aliyeongoza Mwenge ateuliwa Mkuu wa Wilaya Mwenge Uhuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa wakuu wawili wa Wilaya, Mkuu wa Wilaya ya Mwanga na Mkuu wa Wilaya ya Tarime. Read more about Aliyeongoza Mwenge ateuliwa Mkuu wa Wilaya