PSG wampa zawadi maalum Ole Gunnar Solskjaer
Wachezaji wa PSG wakiongozwa na nahodha wao Thiago Silva, wamesema wanaamini kuwa kipigo cha jana dhidi ya Lyon katika ligi kuu ya Ufaransa, ni zawadi ya furaha kwa kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer.

