Baada ya kumtaja Lissu,CHADEMA wampa masharti Rais

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimemtaka Rais wa TFF Wallace Karia kumuomba radhi Mbunge wake na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Tundu Lissu, bila hivyo wametangaza moja ya mambo watakayofanya ni kuhamasisha wanachama wake kutoshiriki shughuli za TFF.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS