Aliyejeruhiwa ubongo kulipwa bilioni 1 Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru Hospitali ya Nairobi kulipa fidia ya zaidi ya bilion 1 kwa mgonjwa aliyepata tatizo la ubongo baada ya Madaktari kukosea kufanya upasuaji. Read more about Aliyejeruhiwa ubongo kulipwa bilioni 1