Musukuma amchongea Lissu kwa Spika Tundu Lissu akiwa na Spika Ndugai. Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Kasheku 'Musukuma' amehoji ni lini Bunge litasitisha mshahara wa mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyedai kuwa amepona na sasa anaitukana serikali. Read more about Musukuma amchongea Lissu kwa Spika