''Yanga hatuwaelewi na tunakosa cha kuwajibu'' Boniface Wambura Bodi ya ligi nchini (TPLB), imesema malalamiko ya vilabu juu ya ratiba ya ligi hayakwepeki lakini yanatakiwa kupelekwa kwenye Bodi moja kwa moja na sio klabu kulalamika kwenye vyombo vya habari. Read more about ''Yanga hatuwaelewi na tunakosa cha kuwajibu''