Rais Mstaafu Mkapa atangaza kujiuzulu Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa . Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa amefikia maamuzi ya kujiuzulu nafasi yake kiongozi wa jopo la usuluhishi wa mgogoro wa Burundi baada ya kuteuliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki mwaka 2016. Read more about Rais Mstaafu Mkapa atangaza kujiuzulu