Pamba Jiji kuambua hatma ya Kagera Sugar leo
Hii leo itapigwa michezo minne ya Ligi Kuu ya NBC katika Viwanja tofauti tofauti, JKT Tanzania watacheza dhidi ya Fountain Gate, Ken Gold dhidi ya Pamba Jiji, Yanga SC dhidi ya Namungo Fc huku Azam Fc watachuana dhidi ya Dodoma Jiji Uwanja wa Chamazi.