Rais Samia aachiwa ujumbe na Papa Francis
Rais Samia Suluhu Hassan, amepokea ujumbe wa hayati Papa Francis kwa ajili ya Tanzania aliouandika siku chache kabla ya kifo chake akimtakia Rais Samia pamoja na Watanzania kwa ujumla kheri ya maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyoadhimishwa Aprili 26,2025.