Urusi yatoa masharti mapya kumaliza mapigano

Waziri wa masuala ya kigeni nchini Urusi Sergey Lavrov amesema kuwa Urusi iko tayari kusitisha mapigano bila masharti, lakini wanataka hakikisho kwamba usitishaji mapigano hautatumika tena kuimarisha jeshi la Ukraine na kwamba usambazaji wa silaha lazima ukome.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS